Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Kimataifa wa Rotary Club 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam jana Julai 28, akiwa na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipiga picha ya pamoja na ujumbe wa Rotary Tanzania pamoja na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati walipofika ofisini kwa Makamu Ikulu, jijini Dar es Salaam jana Julai 28, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka (wa tatu kulia), wakati walipofika ofisini kwa Makamu Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo jana, Julai 28, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka (wa tatu kulia), wakati walipofika ofisini kwa Makamu Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo jana Julai 28, 2012.
No comments:
Post a Comment