Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akishiriki katika swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi, aliowakaribisha katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi jana 30, 2012.
Wananchi wa Lindi wakipata futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete jana, mkoani humo. |
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine
Kadhi wa Mkoa wa Lindi ambaye pia ni Sheikh Mkuu wa Mkoa, Mohamed Saidi Mushangani akitoa neno la shukurani baada ya futari hiyo.
Rais Kikwete, akizungumza na waananchi wa Lindi wakati wa futari aliyowaandalia jana. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na waalikwa walioshiriki katika futari hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kufuturu. (Picha Na Ikulu)
No comments:
Post a Comment