Katibu wa Halimashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, wakishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, jana Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye, mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Nape akitoa salam za Chama chake, kwenye msiba wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi. Wengine wa pili kulia ni mdogo wa marehemu, Bashir Kikolo na Mwenyekiti wa CCM Morogoro, Injinia Petro Kingu.
Waombolezaji wakiswalia mwili wa Mbunge wa zamani wa Kilosa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoani Morogoro, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika eneo la Wami-Dakawa, Wilaya ya Mvomelo mkoani Morogoro, jana, Julai 30, 2012. Shaweji alifariji dunia juzi.
Mazishi ya marehemu Alhaji Shaweji, katika makaburi ya Funga Funga, Wami Dakawa, Mvomero, mkoani Morogoro.
Kaim Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda akieleza wasifu wa marehemu, Alhaji Abdallah Shaweji wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, jana.
Kina mama waombolezaji, wakiwa kwenye msiba wa Shaweji.
No comments:
Post a Comment