Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Pemba alipofika kuwatembelea Wazee wa Limbani Wete na kutowa Futari kwa Wazee hao jana.
Wazee wanaoishi katika Nyumba ya Wazee Limbani Wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, alipofika kuwatembelea na kutoa futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani jana. (Picha na Othman Maulid)
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wazee wa Nyumba ya Wazee Limbani Wilaya ya Wete Pemba alipofika kuwasalimia na kutowa Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wazee wa Nyumba ya Wazee Limbani Wete Pemba, alipofika kuwatembelea na kutowa futari kwa Wazee hao.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi futari Mzee wa Nyumba ya Wazee Limbani Hamadi Ali, wakati alipofika katika makazi yao kuwatembelea na kutoa futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katikati ni Waziri wa Ustawi wa Jamii
Maendeleo ya Wanawanke na Watoto, Zainab Omar. (Picha zote na Othman Maulid, Pemba)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi futari mzee wa Nyumba ya Wazee Limbani Hamadi Ali, wakati alipofika katika makazi yao, kuwatembelea na kutoa Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kushoto ni Waziri wa Ustawi wa Jamii
Maendeleo ya Wanawanke na Watoto, Zainab Omar. (Picha zote na Othman Maulid, Pemba)
No comments:
Post a Comment