TANGAZO


Tuesday, July 31, 2012

Rais Dk. Shein afuturisha wananchi Mkoa wa Kaskazini Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto), akijumuika na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika chakula cha Futari alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba jana.
 Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika chakula cha Futari alichowaandalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuturu katika futari waliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, katika
viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.

 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Dadi Faki Dadi, akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wake baada ya chakula cha Futari alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya chakula cha Futari, huko Ikulu ya Wete Pemba jana. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), akiagana na Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana baada ya Chakula cha Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Wete.
  Baadhi ya akina mama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya chakula cha Futari, iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu ya Wete Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein (katikati), akiitikia dua na viongozi akinamamawa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya Chakula cha Futari iliyoandaliwa kwa wananchi hao, huko Ikulu ya Wete Pemba.  (Pichana zote Ramadhan Othman, Ikulu).

No comments:

Post a Comment