Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Mashirikisho ya wasanii wa filamu na muziki kuhusu urasimishaji wa kazi za wasanii wa filamu na muziki jijini Dar es Salaam leo.
Maandamano ya wachezaji wa Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA), yakipita mbele ya Waziri wa Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, wakati alipokuwa akizindua michezo hiyo, Kibaha mkoani Pwani leo.
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (katikati), akipiga makofi na Mkuu wa Mkoa huo, Mwantumu Mahiza (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa (kulia), wakati alipokuwa akiyapokea maandamano wachezaji wa Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA), Kibaha mkoani Pwani, alipokuwa akizindua mashindano hao leo.
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akizungumza na wachezaji wa Umoja wa michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA), wakati alipokuwa akizindua mashindano hao, Kibaha mkoani Pwani. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Mwantumu Mahiza na kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa.
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akizungumza na wachezaji wa timu za michezo mbalimbali za Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA), wakati alipokuwa akizindua mashindano hao, Kibaha mkoani Pwani leo. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)
No comments:
Post a Comment