Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, Marina Joel Thomas, akila kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Amer Kificho, Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. (Picha zote na Yussuf Simai - Maelezo, ZANZIBAR)
Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais, Marina Joel Thomas (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na familia yake, nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mara baada ya kuapishwa na Spika wa Baraza hilo, Pandu Ameir Kificho leo mjini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Mwinyihaji Makame (kushoto), akibadilishana mawazo na Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaabani nje ya Baraza la Wawakilishi Mbweni Mji wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment