TANGAZO


Thursday, June 21, 2012

Wakufunzi wa ensa wajifua ili kwenda kutoa mafunzo kwa makarani

Moja ya makundi mbalimbali ya wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakiwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo leo, katika kijiji cha Nala mkoani Dodoma jinsi ya kutumia ramani katika zoezi la sensa ya watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012. Wakufunzi hao wako mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya kuwawezesha ili nao waende kutoa elimu hiyo katika ngazi za mikoa. (Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dodoma)
Kundi la wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakiwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo leo katika kijiji cha Nala mkoani Dodoma kufanya zoezi la kutumia ramani katika kujifunza kuelewa mipaka na eneo la kufanyia sensa kwa makarani wa kuhesabu watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012. Wakufunzi hao wako mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya kuwawezesha ili nao waende kutoa elimu hiyo katika ngazi za mikoa.

Kundi la wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakifanya zoezi la kusoma ramani kwa vitendo ili kutambua eneo la karani ambalo atakuwa akiwajibika nao katika kutekeleza kwa vitendo kazi ya kuhesabu watu katika zoezi la sensa ya watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012. Zoezi hilo linafanyika mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya kuwawezesha ili nao waende kutoa elimu hiyo katika ngazi za mikoa.

Wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakisoma ramani katika mafunzo kwa njia ya vitendo leo katika kijiji cha Nala mkoani Dodoma jinsi ya kutumia ramani hiyo katika zoezi la sensa ya watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012. Wakufunzi hao wako mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya kuwawezesha ili nao waende kutoa elimu hiyo katika ngazi za Mikoa.

Moja ya makundi ya wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakiwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo leo katika Kijiji cha Nala mkoani Dodoma jinsi ya kutumia ramani katika zoezi la sensa ya watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012.

No comments:

Post a Comment