Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Anna Abdallah (kushoto) leo, mjini Dodoma katika viwanja vya Bunge.
Mbunge wa
Musoma Vijijini, Nimrod Mkono
(kulia), akibadilishana mawazo na Naibu Waziri
wa TAMISEMI, Aggrey Mwanri mjini
Dodoma leo katika viwanja vya Bunge. |
No comments:
Post a Comment