Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, akielezea jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu ziara ya timu hiyo kanda ya Ziwa Juni 16 hadi 17 kwa ajili ya kuwapelekea mashabiki wake Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vidacom, ziara iliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakinukuu taarifa ya ziara hiyo, iliyokuwa ikitolewa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya timu hiyo Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kuwapelekea mashabiki wake Kombe la Ubingwa wa Ligi ya Vodacom, katika ziara iliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandishi kwenye mkutano huo, uliohusu ziara ya timu hiyo, kanda ya Ziwa Juni 16 hadi 17 kwa ajili ya kuwapelekea mashabiki wake Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vidacom, ziara iliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager. Kulia ni Meneja wa bia hiyo, George Kavishe.
Baadhi ya wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua picha za mkutano huo, mbao Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage, akizungumzia ziara ya timu yake ya Simba kwenda Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kuwapelekea mashabiki wake Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, ziara iliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu udhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake hiyo, kuidhamini Simba kwenda Kanda ya Ziwa Juni 16 hadi 17 kwa ajili ya kuwapelekea mashabiki wake Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vidacom. Kushoto ni Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage.
No comments:
Post a Comment