TANGAZO


Wednesday, June 6, 2012

Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Kampuni ya YARA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kilimo ya YARA ya nchini Norway, inayoshughulika na uzalishaji wa mbolea wakati walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Kampuni hiyo ina andaa mipango ya kuzalisha mbolea nchini.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Kilimo ya YARA ya nchini Norway, wakati alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment