Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi wa Canada nchini Tanzania, Robert Orr, aliyefika ofisini kwa Makamu, asubuhi ya leo Juni 06, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Robert Orr, akimweleza jambo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipofika ofisini kwa Makamu, asubuhi ya leo Juni 06, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
No comments:
Post a Comment