Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza, Deo Mwanyika, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Barrick Tanzania baada ya kuibuka mchangiaji mkubwa kwa kutoa dola za Kimarekani laki 5 kwa ajili ya kuchangia taasisi ya Mkapa Hiv/Aids Foundation, usiku wa kuamkia leo hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kulia ni Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa aliyeandaa hafla hiyo, iliyoweza kukusanya shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia sita.
Wednesday, June 6, 2012
Rais Kikwete achangisha sh. bilioni 3.2, Harambe ya Mkapa Fellows.
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi picha ya kuchora, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya UNDI Consulting Group Limited, Philip Makoka aliyoinunua kwa shilingi milioni 20, wakati wa Harambee ya kuchangia fedha programu ya Mkapa Fellows, inayoendeshwa na Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS, iliyofanyika Dar es Salaam kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. Kulia ni mchoraji wa picha hiyo, Bwana Muzu.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza, Deo Mwanyika, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Barrick Tanzania baada ya kuibuka mchangiaji mkubwa kwa kutoa dola za Kimarekani laki 5 kwa ajili ya kuchangia taasisi ya Mkapa Hiv/Aids Foundation, usiku wa kuamkia leo hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kulia ni Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa aliyeandaa hafla hiyo, iliyoweza kukusanya shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia sita.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa baada ya kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS foundation na kusaidia kukusanya shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia sita. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza, Deo Mwanyika, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Barrick Tanzania baada ya kuibuka mchangiaji mkubwa kwa kutoa dola za Kimarekani laki 5 kwa ajili ya kuchangia taasisi ya Mkapa Hiv/Aids Foundation, usiku wa kuamkia leo hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kulia ni Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa aliyeandaa hafla hiyo, iliyoweza kukusanya shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia sita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment