Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International, ambao ndio waandaaji wa mashindano ya urembo hapa nchini, Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu shindano la Redd's Miss World Tanzania 2012, litakalofanyika Juni 16. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's, Victoria Kimaro na kushoto ni Abert Makoye.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's, Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari kuhusu udhamini wa shindano la Redd's Miss World 2012, Dar es Salaam leo. (Picha na mdau wetu)
No comments:
Post a Comment