TANGAZO


Tuesday, June 12, 2012

Basata yatoa elimu kwa wadau wa Sanaa kuhusu Teknolojia ya Digital na Faida zake

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Ghonche Materego akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihitimisha mjadala kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila wiki Makao Makuu ya baraza hilo, Ilala Sharifushamba, jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mhandishi Joel Chacha kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) na Kaimu Mratibu wa Jukwaa hilo Agnes Kimwaga.


Mhandisi Joel Chacha kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), akiwasilisha mada kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii iliyohusu Teknolojia ya Digital na Faida zake katika Sekta ya Sanaa na Wasanii. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego.


Mdau kutoka Mlimani TV, akiuliza maswali kuhusu mfumo wa Digitali.

Mmoja wa Wasanii aliyehudhuria mjadala huo, akitoa ya moyoni kuhusu mchakato wa kuhama kutoka mfumo wa Analogia kwenda ule wa Digitali na mchango wake kwenye Sanaa.



Sehemu ya wadau wa Sanaa waliohudhuria mjadala huo, wakifuatilia maelezo mbalimbali kuhusu elimu iliyokuwa ikitolewa. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment