Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto (Global Network of Religions for Children), leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam, ambako walifanya mazungumzo.
Monday, June 18, 2012
Rais Kiwete akutana na Mwana wa Falme wa Saudia, Mudavadi, Keishi Miyamoto Ikulu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi, leo Juni 18, 2012, Ikulu jijini Dar es Salaam, ambako walifanya mazungumzo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsinidikiza Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi leo Juni 18, 2012 Ikulu, jijini Dar es Salaam ambako walifanya mazungumzo.
Rais Jakaya Kikwete, akimsindikiza Naibu Waziri Mkuu wa Kenya, ambaye pia ni Waziri wa Serikali za Mitaa, Musalia Mudavadi baada ya maongezi yao Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto (Global Network of Religions for Children), leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam, ambako walifanya mazungumzo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto (Global Network of Religions for Children), leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam, ambako walifanya mazungumzo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment