TANGAZO


Saturday, June 23, 2012

Rais Kikwete awafariji wafiwa msiba wa Kinyamagoha, Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Utawala wa CCM Makao Makao Makuu Dodoma, Marehemu Mwangunza  Kinyamagoha, nyumbani kwake mjini Dodoma jana. Marehemu Kinyamagoha alifariki hivi karibuni.


Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Kinyamagoha, nyumbani kwake mjini Dodoma jana kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment