TANGAZO


Saturday, June 23, 2012

Baba wa Cheka, Kaseba watambiana pambano la watoto wao

Baba mzazi wa bondia Fransic Cheka , Boniface Cheka (kulia), akiwa amemkunja baba mzazi wa Japhert Kaseba, Josepher Kaseba, wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuzungumzia mpambanbo wa watoto wao utakaofanyika siku kuu ya Sabasaba Uwanja  wa Taifa jijini Dar es Salaam. 


Baba wa bondia Japhert Kaseba, Josepher Kaseba (kushoto), akipeana mkono na baba mzazi wa bondia Fransic Cheka , Boniface Cheka wakati walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutangaza mpambano wa watoto wao hao,  utakaofanyika siku kuu ya Saba saba jijini.



Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Boniface Cheka (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu mpambano wa mwanae utakaofanyika siku kuu ya Sabasaba, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kulia ni baba wa bondia Japhert Kaseba, Josepher Kaseba na wa pili kushoto ni Meneja Matukio wa Dar Live, Juma Mbizo na Promota wa mpambano huo, Kaike Siraju. Picha zote na Super D, Mnyamwezi) 

No comments:

Post a Comment