Wednesday, June 13, 2012
Rais Kikwete apokea hati za Utabulisho za mabalozi wapya na ujumbe kutoka kwa Rais Kabila wa Kongo na Kiir wa Sudani Kusini
Balozi mpya wa Eritrea nchini, Beyene Russom Habtai, akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5 wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC).
Balozi wa Ghana, Kingsley Saka Karimu akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC)
Balozi wa Israel, Gil Haskel akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC)
Balozi wa Philippines, Domingo Lucenario akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC)
Balozi wa Ukraine Volodymyr Butiaha, akiwasilisha hati za Utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC)
Mjumbe wa Sudani Kusini, Nhial Deng Nhial akiwasilisha ujumbe kwa Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Rais Salva Kir, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais huyo wa Sudani Kusini na Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC)
Mjumbe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), Raymond Tschibanda akiwasilisha ujumbe kwa Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Rais Joesph Kabila, Ikulu Dar es Salaam leo, Juni 13, 2012, wakati Rais alipokuwa katika hafla ya kupokea hati za mabalozi 5, wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na pia kupokea ujumbe kutoka kwa Rais huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Sudani Kusini. (Picha zote na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment