TANGAZO


Wednesday, June 13, 2012

Mkutano wa Maboresho ya Usalama wa Anga wafanyika jijini Dar es Salaam

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Maboresho ya wadau wa mambo ya Usalama wa Sekta usafiri wa Anga, wakiwa katika mkutano huo, leo Juni 13, 2012, jijini Dar es Salaam. (Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo)


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Maboresho ya wadau wa mambo ya Usalama wa Sekta usafiri wa Anga, wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkutano huo, leo Juni 13, 2012, jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wadau wa mkutano wa maboresho wa mambo ya Usalama wa sekta ya usafiri wa Anga nchini, wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo, ukioandaliwa na Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini (TCAA), leo Juni 13, 2012, jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wadau wa mkutano huo wa sekta ya usafiri wa Anga nchini, wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo, leo Juni 13, 2012, jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usalama wa Anga, Fadhili Manongi, akifungua mkutano huo wa siku moja wa wadau wa sekta ya usalama wa anga jijini leo.


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usalama wa Anga, Fadhili Manongi, akizungumza na wada wa sekta ya usalama wa Anga, Dar es Salaam, wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao jijini leo.


Mkaguzi wa ndege Makhiid Towillo, akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa usafiri wa anga, uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.


 Mkaguzi Mkuu anayeshughulikia masuala ya ajali za usafiri wa ndege kutoka Wizara ya Uchukuzi, John Nyamwihura, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali ya usalama na ajali za ndege nchini wakati wa mkutano huo.


No comments:

Post a Comment