TANGAZO


Saturday, June 2, 2012

Rais Dk. Shein akutana na Seneta Coons wa Marekani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Seneta wa Marekani Christopher Coons, akiwa na Ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu mjini Zanzibar jana, kuzungumza na Rais. (Picha na Ramadhan  Othman,Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons, akiwa na Ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu mjini Zanzibar jana.  



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons pamoja  na ujumbe, aliofuatana nao  walipofika Ikulu mjini Zanzibar jana. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment