Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza jambo na mgeni wake, Rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed, walipokutana jijini Arusha leo june 2, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akimsindikiza mgeni wake, Rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed, walipokutana jijini Arusha leo june 2, 2012 na kufanya naye mazungumzo, mbapo pamoja na mambo mengine, Marais hao, walijadili hali ya usalama wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na Rais Kikwete kumhakikishia ushirikiano katika kuleta amani ya nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment