TANGAZO


Sunday, June 3, 2012

Ndomondo ajitosa kuchukua fomu, Ukatibu wa Siasa na Uenezi Temeke



Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke,  Anastazia Mwonga, akikabizi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa mkereketwa wa Chama hicho, Yahaya Ndomondo,  Dar es salaam leo kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi  Mkuu wa Chama hicho.

 Katibu Msaidizi wa CCM, Anastazia Mwonga, akikabidhi fomu kwa mkereketwa wa CCM, Yahaya Ndomondo Dar es Salaam leo, wakati alipofika ofisini hapo kwa ajili ya kijitosa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa chama hicho.

Ndomondo, akitabasamu wakati akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi Siasa na Uenezi wa Chama hicho, wilayani Temeke leo na Katibu Msaidizi wa CCM, Anastazia Mwonga, Temeke jijini Dar es salaam. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment