Nape ahudhuria mahafali ya Vijna wa CCM, Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu, Iringa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoka Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu, mkoani Iringa, wakiwa kwenye mahafali yao yaliyofanyika jana mjini Iringa.
Katibu wa NEC-CCM, Siasa na Uenezi, Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM, Agnes Pius kutoka Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), wakati wa mahafali hayo.
Nape akimkabidhi vyeti kwa niamba ya wanachama wengine, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vikuu, kutoka Chuo Kikuu cha Mkwawa, Juma Hango, kwa ajili ya kuwagawia baadaye wanachama wengine.
Nape akimpa cheti cha uongozi, Hamis Ngila wa Chuo Kikuu cha Tumaini wakati wa mahafali hayo.
Nape na viongozi wengine wa CCM, wakishiriki kula kiapo cha mwanachama wa CCM, mara baada ya kukabidhi kadi za Chama hicho kwa wanachama wapya katika mahafali hayo.
Nape akiagana na viongozi na vijana wa CCM wa Shirikisho la vyuo vikuu mkoani Iringa baada ya mahafali hayo jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment