Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Khalid Ghaanim Al Ghaith, wakati yeye na ujumbe wake walipowasili kwa mazungumzo Ikulu, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Ghaith anashughulikia pia masuala ya uchumi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), unaongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Falme hizo, Khalid Ghaanim Al Ghait (wapili kulia), wakati ujumbe huo ulipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment