Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mvuleni jimbo la Mchinga mkoani Lindi leo, katika mkutano wa kampeni ya Vua Gamba Vaa Gwanda. (Picha zote na Joseph Senga).
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa alipowasili katika kijiji cha Mvuleni jimbo la Mchinga mkoani Lindi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akizungumza na vijana wa kijiji cha Mvuleni katika jimbo la Mchinga mkoani Lindi, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.
No comments:
Post a Comment