TANGAZO


Saturday, June 9, 2012

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Vodacom, Peter Moyo, amtembelea Waziri Mbarawa

 Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Vodacom, Peter Moyo (kushoto), wakati Mwenyekiti huyo alipomtembelea Waziri Mbarawa ofisini kwake Dar es salaam jana. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza. Moyo alikuwa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. (na mpigapicha wetu)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (katikati) akimkaribiha ofisini kwake Mkurugnezi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza. Kushoto ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Vodacom, Peter Moyo aliyemtembelea Waziri ofisini kwake jana, 8 June, 2012, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.

No comments:

Post a Comment