Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar, anayeshughulikia Fedha,
Uchumi na Mipango ya Maendeleo, Omar Yussuf Mzee, akiwasilisha
mwelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa
fedha wa 2012/2013 ambapo makadirio ya mapato na matumizi ni Sh.bilioni
648.9.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar, anayeshughulikia Fedha,
Uchumi , Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee (kulia), akitoa taarifa
ya mwelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 2012/2013
kwa wandishi wa habari, ukumbi wa ofisi yake ya Vuga mjini Zanzibar
jana. (Picha zote na Martin Kabemba)
No comments:
Post a Comment