Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mkangalla,
akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) Ruvu, Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kukitembelea
kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa
marudiano na timu ya Ethiopiia. (Picha na Benjamin Sawe wa (WHVUM).
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangalla,
akisalimiana na mmoja wa Kamanda wa kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa
cha Ruvu JKT, wakati alipokwenda kukitembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga
Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia.
(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mkangalla akiteta
jambo na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kukitembelea kikosi
cha Timu ya Twiga Stars kinachotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na
timu ya Ethiopia. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mkangalla
akisisitiza jambo kwa kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars (hawapo
Pichani), wakati alipokitembelea kikosi hicho kilichopo mazoezini
kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT. Kulia kwake ni Kaimu Kamanda wa Kambi
ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Ruvu, Meja Alex Kakwaya
na kushoto kwake ni Luteni Rhoda Matonya.( Picha na Benjamin Sawe wa
WHVUM).
No comments:
Post a Comment