Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akufungua semina ya Mpango wa Bima ya Afya unaojulikana kwa jina la TIKA uliobuniwa na Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), inayotolewa kwa Madiwani wa Manispaa hiyo, iliyofanyika ukumbi wa Arnautoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Ellias Mwasabwite.
Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee akizungumza katika semina hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Ellioth Mwasabwite na katikati ni Meya wa Ilala, Jerry Slaa.
Wakurugenzi na Maofisa kutoka Mfuko wa Bima ya Afya, wakiwa katika semina hiyo leo.
Baadhi ya Madiwani wanaoshiriki katika semina hiyo, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (katikati waliokaa), Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Ellias Mwasabwite (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Madiwani hao.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (katikati waliokaa), Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Ellias Mwasabwite (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na kundi lingine la Madiwani hao, waliokuwa wakishiriki semina hiyo.
No comments:
Post a Comment