|
Mwenyekiti wa Soko la Machinga Complex, Abubakari Rakeshi (katikati), akiongea kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa soko hilo, leo jijini Dar es Salaam katika kutambulisha uwongozi upya wa soko hilo pamoja na kuhakiki wafanyabiashara walioko ndani ya soko hilo na ambao hawapo. Kushoto ni Mwenyekiti Msaidizi wa soko hilo, Geradi Mpagama na kulia ni Meneja wa jengo hilo, Nyamsukura Masondore. Mkutano huo umefanyika ndani ya soko hilo leo.
|
Meneja wa jengo la Machinga COMPLEX, Nyamsukura Masondore (kulia), akijibu maswali kutoka kwa wafanyabiashara wa soko hilo, wakati wa mkutano huo leo.
Wafanyabiashara wa soko la Machinga Coplex, wakiwa katika mkutano huo. (Picha na Philemon Solomon wa Fullshangwe)
No comments:
Post a Comment