Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dk. Yassir Mohammed Ali, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 05, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dk. Yassir Mohammed Ali, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 05, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Amour Zacarias Kupela, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 05, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Amour Zacarias Kupela, wakati alipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 05, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi, baada ya kumaliza muda wake nchini. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
No comments:
Post a Comment