Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Seneta Christopher Coons (wa pili kushoto kwa Makamu), aliyeongozana na ujumbe wake kutoka nchini Marekani, wakati walipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 01, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akielezea jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Seneta Christopher Coons (wa pili kushoto), aliyeongozana na ujumbe wake kutoka Marekani, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipiga picha ya ukumbusho pamoja na Seneta Christopher Coons (wa pili kushoto) na ujumbe wake kutoka nchini Marekani, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 01, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Seneta Christopher Coons, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. |
No comments:
Post a Comment