TANGAZO


Friday, June 15, 2012

Dk. Bila azindua mradi wa kuinua Ubora wa Elimu ya msingi, Mtwara

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi, ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa na kushoto ni Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa na kulia ni  Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). 


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi huo wa Kuinua Elimu ya Msingi. Katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa na kulia ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Majaliwa Kassim Majaliwa.


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Mbunge wa Newala, Kaptein Msaafu, George Mkuchika. 


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa.


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiimba sambamba na wananfunzi wa Shule hiyo, wakati akiwaaga baada ya kushuhudia wakijifunza kwa njia ya Kompyuta, wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). 



Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe, ili kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa.

No comments:

Post a Comment