Gari aina ya Costa lenye namba za usajili T 886 BDZ. likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali mbaya na kuua watu zaidi ya 10 katika mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya leo.
Wananchi wakilishangaa gari aina ya Costa lililoharibika vibaya baada ya kupinduka na kuua zaidi ya watu 10, eneo la Mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya leo.
Lori lililosababisha ajali ya Costa na kuua watu zaidi ya 10, likiwa limepinduka eneo la mlima Mzalendo Igawiro jijini Mbeya leo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika tukio la gari aina ya Costa lililopinduka na kuua zaidi ya watu 10 na kuharibika vibaya eneo la Mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya, wakiangalia ajali hiyo leo.
Askari Polisi, akichukua maelezo ya gari la Lori lililosababisha kupinduka kwa gari aina ya Toyota Costa, kufuatia ajali hiyo, iliyoua abiria zaidi ya 10 katika Mlima Mzalendo Igawilo jijini Mbeya leo. (Picha zote na Venance Matinya)
No comments:
Post a Comment