Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwasili kwenye mashamba ya Kilimo ya Uyole, mkoani Mbeya leo.
Waziri Mkuu Pinda pamoja na viongiozi aliofuatana nao, wakiangalia mashamba ya kilimo cha mpunga kwenye mashamba hayo.
Bibi Shamba, akimpatia maelezo Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na ujumbe wake huo, kuhusu kilimo katika mashamba hayo, wakati alipokuwa akiyatembelea mashamba hayo leo.
Shamba la kilimo Uyole, linavyoonekana.
Waziri Mkuu Pinda akizunguka kwenye shamba hilo la kilimo kuangalia shamba lilivyostawi.
Waziri Mkuu Pinda, akipatiwa maelezo ya kina kuhusu shamba hilo la kilimo, pamoja na utayarishaji wake. (Picha zote na Mbeya yetu Blog)
No comments:
Post a Comment