TANGAZO


Friday, May 11, 2012

Serengeti Breweries yakabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo

Meneja wa bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (katikati), akimkabidhi Agness Msengi, jenereta aliyojishindia katika promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo, kupitia bia zake za Tusker Lager, Plisner Lager na Serengeti Premium Lager.
 
Menja wa bia ya Serengeti, Allan Chonjo (wa pili kulia), akimkabidhi Amadeus Minja, jenereta aliojishindia kupitia promosheni inyoendeshwa na Kampuni ya bia ya Serengeti.
 
Washindi wakishangili kwa pamoja na Meneja wa Bia ya Serengeti Premium Lager, Allan Chonjo (wa pili kulia), mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao jana.

No comments:

Post a Comment