TANGAZO


Tuesday, May 8, 2012

Waziri Mkuu Pinda, amtembelea Waziri Mwandosya nyumbani


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiwa na Waziri Mark Mwandosya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi Dar es Salaam jana kumjulia hali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Waziri  Mark Mwandosya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam, kumjulia hali jana.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mark Mwandosya, wakati akiondoka baada ya kumtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam, kumjulia hali jana, May 7, 2012. Katika ni Mke wa Waziri huyo, Lucy Mwandosya. 

No comments:

Post a Comment