TANGAZO


Tuesday, May 8, 2012

Nassari ajisalimisha Polisi, Jijini Arusha


Wakili Albert Msando, akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, mkoani Arusha, akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), alipojisalimisha, baada ya kutakiwa kufanya hivyo na jeshi hilo. (Picha zoet na Janeth Mushi)




Wakili Albert Msando, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya Jeshi hilo, mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Joshua Nassari (wa pili), alipojisalimisha baada ya kutakiwa kufanya hivyo na jeshi hilo.




Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), akisamiana na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Arusha, Akili Mpwapwa, leo Makao Makuu ya jeshi hilo, mkoani
humo.

No comments:

Post a Comment