Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Mkoa wa Mwanza ( RCO), Deusdedit Nsimeki, akifunga mafunzo ya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto yaliyofanyika jijini humo leo. Wa pili kulia ni mwezeshaji wa mafunzo hayo kwa askari Polisi wa vyeo mbalimbali kutoka Wizara ya Sheria na Katiba, Wanyenda Philip , ambaye pia ni Mshauri wa masuala ya jinsia na kushoto ni SACP Zuhura Munisi wa Kitengo cha Jinsia Makao Makuu. (Picha zote na Baltazar Mashaka)
Washiriki wa mafunzo hayo, kutoka Wilaya za Ilimela na Nyamagana, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo hayo, RCO Deusdedit Nsimeki, mara baada ya kuyafungua leo.
No comments:
Post a Comment