TANGAZO


Wednesday, May 9, 2012

Wakuu wa Wilaya wapya 70, watangazwa, wa zamani 51 watemwa

Watangazaji na Waandishi wa Habari wateuliwa kuwa Ma - DC
Rais Jakaya Kikwete amewateua waandishi wa habari, na watangazaji waandamizi kuwa wakuu wa wilaya.

Miongoni mwa walioteuliwa ni Ahmed Kipozi, Jackline Liana, Muhingo Rweyemamu, Novatus Makunga na Selemani Mzee.

Pia Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwandishi wa Habari, Lucy Mayenga ameteuliwa kuwa DC.


MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA
VITUO VYAO VYA KAZI NA KITUO CHA KAZI MBELE
 

1. Novatus Makunga - Hai
2. Mboni M. Mgaza - Mkinga
3. Hanifa M. Selungu - Sikonge
4. Christine S. Mndeme - Hanang
5. Shaibu I. Ndemanga - Mwanga
6. Chrispin T. Meela - Rungwe
7. Dr. Nasoro Ali Hamidi - Lindi
8. Farida S. Mgomi - Masasi
9. Jeremba D. Munasa - Arumeru
10. Majid Hemed Mwanga - Lushoto
11 Mrisho Gambo - Korogwe
12. Elias C. J. Tarimo - Kilosa
13. Alfred E. Msovella - Kiteto
14. Dkt. Leticia M. Warioba - Iringa
15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe - Mbozi
16. Mrs. Karen Yunus - Sengerema
17. Hassan E. Masala - Kilombero
18. Bituni A. Msangi - Nzega
19. Ephraem Mfingi Mmbaga - Liwale
20. Antony J. Mtaka - Mvomero
21. Herman Clement Kapufi - Same
22. Magareth Esther Malenga - Kyela
23. Chande Bakari Nalicho - Tunduru
24. Fatuma H. Toufiq - Manyoni
25. Seleman Liwowa - Kilindi
26. Josephine R. Matiro - Makete
27. Gerald J. Guninita - Kilolo
28. Senyi S. Ngaga - Mbinga
29. Mary Tesha - Ukerewe
30. Rodrick Mpogolo - Chato
31. Christopher Magala - Newala
32. Paza T. Mwamlima - Mpanda
33. Richard Mbeho - Biharamulo
34. Jacqueline Liana - Magu
35. Joshua Mirumbe - Bunda
36. Constantine J. Kanyasu - Ngara
37. Yahya E. Nawanda - Iramba
38. Ulega H. Abadallah - Kilwa
39. Paul Mzindakaya - Busega (mpya)
40. Festo Kiswaga - Nanyumbu
41. Wilman Kapenjama Ndile - Mtwara
42. Joseph Joseph Mkirikiti - Songea
43. Ponsiano Nyami - Tandahimba
44. Elibariki Immanuel Kingu - Kisarawe
45. Suleiman O. Kumchaya - Tabora
46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa - Siha
47. Manju Msambya - Ikungi (mpya)
48. Omar S. Kwaangw’ - Kondoa
49. Venance M. Mwamoto - Kibondo
50. Benson Mpesya - Kahama
51. Daudi Felix Ntibenda - Karatu
52. Ramadhani A. Maneno - Kigoma
53. Sauda S. Mtondoo - Rufiji
54. Gulamhusein Kifu - Mbarali
55. Esterina Kilasi - Wanging’ombe (mpya)
56. Subira Mgalu - Muheza
57. Martha Umbula - Kongwa
58. Rosemary Kirigini - Meatu
59. Agness Hokororo - Ruangwa
60. Regina Chonjo - Nachingwea
61. Ahmed R. Kipozi - Bagamoyo
62. Wilson Elisha Nkhambaku - Kishapu
63. Amani K. Mwenegoha - Bukombe
64. Hafsa M. Mtasiwa - Pangani
65. Rosemary Staki Senyamule - Ileje
66. Selemani Mzee Selemani - Kwimba
67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga - Mlele (mpya)
68. Iddi Kimanta - Nkasi
69. Muhingo Rweyemamu - Handeni
70. Lucy Mayenga - Uyui

MAJINA 63 WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA
VITUO VYAO VYA KAZI

NA. JINA KITUO CHA KAZI
1. James K. O. Millya - Longido
2. Mathew S. Sedoyeka - Sumbawanga
3. Fatuma L. Kimario - Igunga
4. Capt. (Mst.) James C. Yamungu - Serengeti
5. Lt. (Mst.) Abdallah A. Kihato - Maswa
6. Sarah Dumba - Njombe
7. Jowika W. Kasunga - Monduli
8. Elizabeth C. Mkwasa - Bahi
9. Col. Issa E. Njiku - Misenyi
10. John B. Henjewele - Tarime
11. Elias W. Lali - Ngorongoro
12. Raymond H. Mushi - Ilala
13. Francis Miti - Ulanga
14. Evarista N. Kalalu - Mufindi
15. Mariam S. Lugaila - Misungwi
16. Anna J. Magowa - Urambo
17. Anatory K. Choya - Mbulu
18. Fatma Salum Ally - Chamwino
19. Deodatus L. Kinawiro - Chunya
20. Ibrahim W. Marwa - Nyang’hwale (mpya)
21. Dkt. Norman A. Sigalla - Mbeya
22. Moshi M. Chang’a - Mkalama (mpya)
23. Jordan M. Rugimbana - Kinondoni
24. Georgina E. Bundala - Itilima (mpya)
25. Halima M. Kihemba - Kibaha
26. Manzie O. Mangochie - Geita
27. Abdula S. Lutavi - Namtumbo
28. Zipporah L. Pangani - Bukoba
29. Dkt. Ibrahim H. Msengi - Moshi
30. Col. Cosmas Kayombo - Kakonko (mpya)
31. Lembris M. Kipuyo - Muleba
32. Elinasi A. Pallangyo - Rombo
33. Queen M. Mlozi - Singida
34. Juma S. Madaha - Ludewa
35. Angelina Mabula - Butiama (mpya)
36. Hadija H. Nyembo - Uvinza (mpya)
37. Ernest N. Kahindi - Nyasa (mpya)
38. Peter T. Kiroya - Simanjiro
39. John V. K. Mongella - Arusha
40. Baraka M. Konisaga - Nyamagana
41. Husna Mwilima - Mbogwe (mpya)
42. Sophia E. Mjema - Temeke
43. Francis Isaac - Chemba (mpya)
44. Abihudi M. Saideya - Momba (mpya)
45. Khalid J. Mandia - Babati
46. Anna Rose Nyamubi - Shinyanga
47. Dani B. Makanga - Kasulu
48. Amina J. Masenza - Ilemela
49. Mercy E. Silla - Mkuranga
50. Christopher R. Kangoye - Mpwapwa
51. Lt. Edward O. Lenga - Kalambo (mpya)
52. Halima O. Dendego - Tanga
53. Lephy B. Gembe - Dodoma
54. Saidi A. Amanzi - Morogoro
55. Jackson W. Msome - Musoma
56. Elias C. B. Goroi - Rorya
57. Lt. Col. Benedict Kitenga - Kyerwa (mpya)
58. Erasto Sima - Bariadi
59. Nurdin H. Babu - Mafia
60. Khanifa M. Karamagi - Gairo (mpya)
61. Gishuli M. Charles - Buhigwe (mpya)
62. Saveli M. Maketta - Kaliua (mpya)
63. Darry Rwegasira - Karagwe

OFISI YA WAZIRI MKUU,
DAR ES SALAAM.

9 MEI 2012

No comments:

Post a Comment