Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenziwe wa Afrika wakiwa katika mdahalo wa taasis ya kilimo ya GroAfrica kwenye jengo la Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Addis Ababa, Ethiopia leo. Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa kwa Afrika. (Picha na Ikulu) |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na akiwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olesegne Obasanjo (kushoto), Paul Kagame wa Rwanda na Meles Zenawi wa Eritrea katika mkutano huo leo. |
No comments:
Post a Comment