TANGAZO


Wednesday, May 16, 2012

Vumbua Hazina Chini ya Kizibo yaingia wiki ya Tatu, washindi wa jenereta, Bajaj wapatikana

Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed, akikagua nambari za simu zilizoingizwa katika droo ya tatu ya promosheni ya Vunbua Hazini Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kabla ya kuanza kuchezeshwa kwa droo hiyo. Kulia ni Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa na kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa Pwc, James Ndetiko. (Picha zote na Kassim Mbarouk) 
Ofisa Mwandamizi wa Kampuni ya Pwc, James Ndetiko, akiandaa droo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kabla ya kuchezeshwa leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed na kulia ni Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa.
Meneja wa Bia ya Premium Serengeti Lager, Allan Chonjo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kuchezeshwa kwa droo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya SBL. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed na kushoto ni Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa.
Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed, akimwonesha kitu Meneja wa Bia ya Premium Serengeti Lager, Allan Chonjo, wakati wa kuchezeshwa kwa droo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya SBL, ambapo washindi wawili walijishindia jenereta na Bajaj.
Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed, akifafanua kuhusu sheria za michezo ya kubahataisha kabla ya kuchezeshwa kwa droo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya SBL, ambapo washindi wawili walijishindia jenereta na Bajaj katika droo hiyo, leo mchana. Kushoto ni Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa.

Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa, akibonyeza kitufe cha kompyuta, ili kuchezesha droo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), ambapo washindi wawili walijinyakulia jenereta na bajaji. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed na katikati ni Meneja wa bia ya Premium Serengeti Lager, Allan Chonjo.

Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed, akirekodi kwa kuandika namba za simu zilizoshinda kwenye droo hiyo ya tatu ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya SBL, ambapo washindi wawili walijishindia jenereta na Bajaj. Katikati anayemsomea ni Meneja wa Bia ya Premium Serengeti Lager, Allan Chonjo na kushoto ni Mshauri wa Kampuni ya Pwc, Tumainiel Malisa.

Meneja wa Bia ya Premium Serengeti Lager, Allan Chonjo, akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya tatu ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), ambapo washindi wawili walijishindia jenereta na Bajaj kwenye droo hiyo leo.

No comments:

Post a Comment