Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akikabidhi bendera kwa Timu ya Taifa ya mchezo wa Golf, inayotarajiwa kusafiri kwenda Gaborone, Botwsana kwa mashindano ya Chalenji ya Afrika kwa upande wa Wanawake. Wapili kushoto ni Mbunge Mery Chatanda. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akimkabidhi bendera Kapteni wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, 'Taifa Stars,' Juma Kaseja, kwa ajili ya safari ya kwenda Ivory Coast, kwa mchezo wa kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2014, nchini Brazil.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa Stars, wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa bendera na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (hayupo pichani) kwa ajili ya safari ya kwenda Ivory Coast, kwa mchezo wa kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2014, nchini Brazil. (Picha na Dotto Mwaibale)
No comments:
Post a Comment