Rais Jakaya Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo, May 30, 2012, Mjumbe maalumu kutoka Serikali ya Burundi, Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete akiongea, Ikulu jijini Dar es Salaam na Mjumbe maalumu kutoka Serikali ya Burundi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo, Martin Nivyabandi. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akipokea ujumbe kutoka Serikali ya Burundi alioletewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo, Martin Nivyabandi, Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiusoma ujumbe alioupokea kutoka kwa Mjumbe maalumu wa Serikali ya Burundi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo, Martin Nivyabandi (katikati), Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini.
No comments:
Post a Comment