TANGAZO


Wednesday, May 30, 2012

Rais Kikwete amkaribisha Makamu wa Rais wa Iran, aliyekuja kwa ziara ya kikazi nchini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi, Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.



Rais Jakaya Kikwete, akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.




Rais Jakaya Kikwete, akishikana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa ziara ya kikazi. Katikati yao ni mkalimani.


Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam leo, May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi Ikulu, jijini Dar es Salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo amawasili nchini kwa ziara ya kikazi.




Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Reza Rahimi mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo May 30, 2012 baada ya mazungumzo yao. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.



No comments:

Post a Comment