TANGAZO


Thursday, May 10, 2012

Tanzania Homes Expo kufanyika Mlimani City Juni 9-10, mwaka huu

Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho ya sekta ya nyumba (Tanzania Homes Expo), yatakayofanyika Juni 9 hadi 10, mwaka huu, Mlimani City jijini. Kulia ni Ofisa Masoko wa taasisi hiyo, Nice Chande. (Picha na Kassim Mbarouk)
Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipozungumza nao kuhusu maonesho ya sekta ya nyumba (Tanzania Homes Expo), yatakayofanyika Juni 9 hadi 10, mwaka huu, Mlimani City. Kushoto ni Afisa Masoko Mwandamizi Richard Mvula.

Waandishi wa habari, wakinukuu vipengele mbalimbali, alivyokuwa akiongea Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, alipokuwa akizungumza nao kuhusu maonesho hayo, yatakayofanyika Mlimani City, Juni 9 hadi 10, jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho ya sekta ya nyumba (Tanzania Homes Expo), yatakayofanyika Juni 9 hadi 10, mwaka huu, Mlimani City jijini. Kulia ni Ofisa Masoko wa taasisi hiyo, Nice Chande.
Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipozungumza nao kuhusu maonesho ya sekta ya nyumba (Tanzania Homes Expo), yatakayofanyika Juni 9 hadi 10, mwaka huu, Mlimani City. Kushoto ni Afisa Masoko Mwandamizi Richard Mvula na kulia ni Ofisa Masoko wa taasisi hiyo, Nice Chande.
Mkurugenzi wa Maonesho ya Sekta ya Nyumba Tanzania, Zeno Ngowi, akito ufafanuzi kwa waandishi wa habari wakati alipozungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho ya sekta ya nyumba (Tanzania Homes Expo), yatakayofanyika Juni 9 hadi 10, mwaka huu, Mlimani City jijini. Kulia ni Ofisa Masoko wa taasisi hiyo, Nice Chande.


Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi huyo, wakati alipokuwa akizungumza nao kuhusu maonesho hayo, yatakayofanyika Mlimani City, Juni 9 hadi 10, jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment