TANGAZO


Thursday, May 10, 2012

Washindi wa TPB Popote wapatikana

 Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi (wa pili kulia), akiwa na Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed (kushoto), Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro (wa pili kushoto) na mfanyakazi wa TPB, Shaaban Ndama, wakichezesha droo ya pili ya promosheni ya TPB popote, ambapo washindi wa zawadi mbalimbali za fedha taslim walipatikana, akiwemo wa sh. milioni 1. (Picha na Kassim Mbarouk)


Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi (wa pili kulia), na Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed (kushoto), wakiorodhesha majina ya washindi wa promosheni hiyo leo baada ya kupatiakana mshindi wa sh. milioni 1, leo kwenye droo hiyo na kisha kutafutwa washindi wengine kwenye droo hiyo. Anayechezesha ni Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro (wa pili kushoto) na mfanyakazi wa TPB (wa kwanza kulia, Shaaban Ndama.

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi (wa pili kulia), na Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed (kushoto), wakiangalia majina ya washindi yanavyopatiakana wakati wa kuchezeshwa droo hiyo leo. Wa pili kushoto ni mchezeshaji wa droo hiyo, Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro na kulia ni  mfanyakazi wa TPB, Shaaban Ndama.

Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro, akiendelea kuwatafuta washindi wa droo hiyo, huku Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi na  Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed, wakiangalia washindi wanaopatikana.
Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro, (wapili kushoto), akishauriana jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi na Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed (kushoto), wakati wa uchezeshwaji wa droo hiyo.

Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgoro, (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Andrew Chimazi na Ofisa Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed (kushoto), wakafuatilia kwa makini droo hiyo.

No comments:

Post a Comment