TANGAZO


Sunday, May 6, 2012

Tamasha la Tuzo za Exel Grand Malti lilivyofana SUA, Morogoro


Meneja wa kinywaji cha Grandmalt, Consolata Adam (katikati) na Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Prof. Mwananzila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla kapteni wa timu ya Infomatic, Ally Tambala, baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguu kwenye bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt, mkoani Morogoro ambapo ilishirikisha pia Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kushoto ni msanii wa Hip hop, Joh Makini. (Picha na Mdau wetu)

Msanii John Makini (katikati), akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with grandmalt katika viwanja vya Chuo Kikuu cha SUA, Morogoro, ikiwa ni katika ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt, mkoani humo, ambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe.

Consolata Adam (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo hizo.
Msanii John Makini, akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with grandmalt kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha SUA, Morogoro, ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt, mkoani humo leo, ambapo itashirikisha Vyuo vya SUA na Mzumbe, vyote vya Morogoro.

No comments:

Post a Comment