TANGAZO


Sunday, May 6, 2012

Rais Kikwete auaga mwili wa dereva wa Ikulu, Deokalyus Makwasinga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka saini kitabu cha maombolezo ya marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari, Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. Shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi. (Picha na Ikulu)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es Salaam. Shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiuombea mwili wa Marehemu Deokalyus Makwasinga, wakati wa kuuaga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es Salaam. Shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakitoa pole kwa mjane wa  Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es Salaam. Shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.

No comments:

Post a Comment